Mpenzi Lyrics
Verse 1:
Nilisema nitakufuata, mpaka pale utakapo enda
Nitakuja tuzungumze nikuambie ninachotaka
Nitasema maneno yangu, naomba unisikize
Ukinipa sikio lako nitafurahi mpenzi we
Bridge:
You can-al ways come to-me and-i
will-al ways be there for you
You can-al ways count on-me and-i
will-al ways be there for you
Chorus:
Mpenzi, ni wewe tu mpenzi.
Milele uuu mpenzi
ni wewe tu mpenzi, mpenzi, mpenzi we
Verse 2:
Ile siku nilikuona, umeketi kwenye kona
Roho yangu ilisimamama, nisijue nifanyeje
Macho yangu yalitabasamu, na viungo vikashikana
Hapo ndipo niligundua, penzi langu kwako we
Bridge:
You can-al ways come to-me and-i
will-al ways be there for you
You can-al ways count on-me and-i
will-al ways be there for you
Chorus:
Mpenzi, ni wewe tu mpenzi.
Milele uuh mpenzi
ni wewe tu mpenzi, mpenzi, mpenzi we
Bridge:
You can-al ways come to-me and-i
will-al ways be there for you
You can-al ways count on-me and-i
will-al ways be there for you
Outro:
Mpenzi, always come to me
Niwewe tu, mpenzi, always count on me
Milele uuu, mpenzi, always come to me
ni wewe tu mpenzi, mpenzi, mpenzi we